Wafanyabiashara walalamika bei ya Nyanya kupanda

Wafanyabiashara wa nyanya za rejareja katika soko la Temeke Stereo Jijini Dar es salaam wamelalamikia kitendo cha wafanyabiashara wa nyanya za jumla kuipandisha bei ya nyanya kutoka shilingi elfu 25 mpaka elfu 30 kwa Tenga hadi kufikia shilingi elfu 50 mpaka 55 kwa Tenga

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS