Walia nyumba zao kujaa maji Kinondoni
Familia zaidi ya 20 katika mtaa wa Mkunguni A kata ya Hananasifu katika manispaa ya Kinondoni nyumba zao zimeingiliwa na maji kufuatia mvua iliyonyesha leo na hivyo kulazimu familia hizo kuishi maisha ya hofu kutokana na usalama wa maisha yao kuwa hatarini