Waliomlilia Katibu Mkuu wa CCM waombwa msamaha
Siku chache baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kumuagiza Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kwenda kushughulikia tatizo la mradi wa maji wa Kata ya Uhambingeto wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, tayari Waziri huyo amefika kwenye mradi huo na kuwaomba msamaha wanaanchi hao.