Nusura ahusiki na ajali ya Naibu Waziri TAMISEMI
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imesema kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Hassan Abdallah, hakihusiani na ajali aliyoipata Naibu Waziri wa TAMISEMI Dkt. Festo Dugange