Waziri Jafo asafisha mitaro jijini Dodoma
Tanzania ni moja ya nchi inayokabiliana na mabadiliko ya tabianchi yatokanayo na uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za kibinadamu ,hali iliyomsukuma Rais Samia Suluhu Hassan kujipambanua kitaifa na kimatafa kubuni na kutengeneza miradi inayotunza mazingira.