Mkulima apigwa risasi Simanjiro
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Walter Kaaya (34) mkazi wa Simanjiro mkoani Manyara amenusurika kifo kwa kupigwa risasi na Paulo Laizer (43) mfugaji wilayani humo kufuatia mzozo wa mifugo kukutwa shambani ikiharibu mazao