Sera,miundombinu,nishati imara kuvutia uwekezaji
Serikali imesema imefungua milango ya majadiliano na wadau wa uwekezaji kila upande ili kuondoa changamoto tata za kikodi,kujenga miundo mbinu rafiki kusimamia sheria,sera za uwekezaji ili kuhakikisha ile nia ya utashi wa kisiasa kwenye uwekezaji inaonekana katika uhalisia kwa wawekezaji.