Wakulima wa Tumbaku Singida kunufaika
Wakulima wa zao la Tumbaku wilayani Manyoni mkoani Singida, wanatarajia kunufaika na kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni tisa na milioni mia saba kupitia vyama vya ushirika baada ya kuzalisha kilogram milioni 2 na laki 1 za Tumbaku msimu huu