Mapacha waliofariki wakiogelea kuzikwa mkoani Mara Miili ya mapacha Kenny na Lenny Makomonde wenye umri wa miaka 24 waliofariki ndani ya ziwa Victoria walipokuwa wanaogelea wameagwa jijini Mwanza na kuelekea Musoma mkoani Mara kwa ajili ya mazishi Read more about Mapacha waliofariki wakiogelea kuzikwa mkoani Mara