Nembo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia Afisa habari wake, Alfred Lucas limetangaza ratiba rasmi ya kuendelea michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo kwa sasa itaanza Septemba tisa na 10 mwaka huu.