Saida Karoli ajiweka kwa G Nako na Belle 9.

Saida Karoli

Msanii wa muziki Tanzania mwanamama ambaye ana sauti yenye mvuto wa kipekee Saida Karoli, amewavuta wasanii wawili wa bongo fleva, G Nako na Belle 9, kwenye kazi yake mpya ya 'Kichaka'.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS