Airtel yatoa zawadi kwa washindi
Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel Tanzania imewataka wateja wake kuendelea kutumia mtandao huo kwa kufanya miamala ya kifedha ili waweze kujishindia zawadi mbalimbali zitakazobadilisha maisha yao kibiashara na kiuchumi.