Majaliwa atoa suluhisho la ajira
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watendaji katika mikoa yote nchini kuhakikisha wanafuatilia maendeleo ya viwanda katika maeneo yao kwani vitasaidia katika kutatua tatizo la ukosefu wa ajira hususani kwa vijana.