Lissu apewa siku 14 Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu. Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amefika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kusikiliza kesi inayomkabili ya ‘dikteta uchwara’ lakini kwa bahati mbaya upande wa mashtaka uliiambia Mahakama hiyo kuwa wamefunga ushahidi. Read more about Lissu apewa siku 14