Wakazi atokwa povu kwa Chid
Msanii wa muziki wa hip hop bongo Wakazi, ameonyesha kuchukizwa na kitendo cha watu kumdhihaki msanii Chid Benz aliposema kuwa amefanya collabo na marehemu Tupac, na kusema kuwa huenda msanii huyo yuko sahihi kwenye kile alichokifanya.