Niyonzima afunguka penz* la Kabula
Mchezaji wa klabu ya Simba Haruna Niyonzima amefunguka na kusema kwamba muigizaji Miriam Jolwa, Kabula aliyewahi kutangaza ana mahusiano naye na kwamba hafahamu kwa nini mwanamke huyo aliamua kumchafua huku akidai siyo 'type' yake.