Alikiba ajitosa kwenye dawa za kulevya
Msanii Alikiba amejitosa kwenye suala la dawa za kulevya kwa kumtetea aliyekuwa swahiba wake Chid Benz kwa kusema anapofungwa mtumiaji wa dawa za kulevya ni kumtesa bali anapaswa kupelekwa katika vituo vya afya ili aweze kupatiwa tiba mbadala.