Chadema yakwama tena
Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki Uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Longido mkoani Arusha kurudiwa baada ya kutupilia mbali rufaa iliyokatwa na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Onesmo Ole Nangole kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo