Ushirikina hauna dili- Dkt. Mwakyembe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewaasa na kuwataka vijana kutumia nguvu zao katika michezo na kufanya mazoezi ila wasije kufikilia kama kuna njia za mkato wala uchawi bali mazoezi ndiyo kila kitu.