Tunaipeleka serikali mahakamani - Zitto Kabwe
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe ameweka wazi kuwa vyama vya upinzani vinakusudia kwenda Mahakamani kufungua kesi dhidi ya serikali kwa kuwazuia kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa.