Kuwa mama kwamponza Aunt Ezekiel
Muigizaji mahiri kutoka bongo, Aunty Ezekel amekiri kuwa suala la yeye kuingia kwenye suala zima la malezi ndiyo chanzo cha ukimya wake na kubainisha kuwa kwani kipindi hicho ndiyo wakati ule mauzo ya soko la filamu yaliporomoka nchini.