'King Kiba' aweka historia mpya
Msanii wa muziki wa bongo fleva Alikiba ambaye amepewa cheo cha 'Mfalme' na mashabiki wake, amedhihirisha kuwa mashabiki hawakukosea kumpa cheo hicho, kwa kuvunja rekodi ya kutazamwa kwa video yake kwa mara nyingi zaidi ndani ya muda mfupi.