Kampeni ya Namthamini yazinduliwa leo
Ikiwa leo Dunia inaadhimisha ni Siku ya Hedhi East Africa TV na East Africa Radio imezindua rasmi kampeni yake ya Namthamini yenye lengo la kumsaidia mtoto wa kike anayeishi katika mazingira magumu kupata taulo za kike zitakazomstiri kwa mwaka mzima.