"Ndoa haijengwi kwa Degree na cheo"-Godbless Lema Picha ya Godbless Lema Ujumbe wa aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kuhusu suala la ndoa baada ya Pastor Rose Shaboka kusema ana Degree 4 hivyo hawezi kuishia kupika na kufua. Read more about "Ndoa haijengwi kwa Degree na cheo"-Godbless Lema