Arsenal uso kwa uso na Atletico Madrid hii leo

Victor Gyokeres na Julian Alvarez

Leo kwenye usiku wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya macho yote ni kwenye mchezo wa awamu ya pili ya nusu fainali  Klabu ya Arsenal ikiikaribisha Atletico Madrid katika uwanja wa Emirates.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS