Lema amfundisha IGP Sirro kazi
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Sirro kulifundisha jeshi lake kufanya kazi kwa weledi na kwamba siyo kila amri wanayopewa na viongozi wa mikoa na wilaya inaweza kuwa afya kwa taifa la Tanzania.