Serikali kuwashughulikia wanaoficha watoto
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amekemea wazazi na walezi wanaowaficha watoto wenye ulemavu kwa kisingizio cha kuwaletea mikosi kwenye familia na kusema serikali haitawafumbia macho.