Wanaoshiriki mapenz* na wanafunzi kupigiwa kura
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi. Ruth Msafiri amesema ataanzisha zoezi la kupita shule kwa shule na kupiga kura ili kubaini walimu wanaotembea na wanafunzi na kuwaharibia maisha yao ili wachukuliwe hatua stahiki.