Wema Sepetu asaka mtu Wema Sepetu Msanii wa filamu wa kike bongo Wema Sepetu ambaye wengi humtaja kuwa msanii mwenye nyota ya kupendwa na mashabiki, amefunguka kuwa anasaka mtu atakaye toka naye usiku wa uzinduzi wa filamu yake. Read more about Wema Sepetu asaka mtu