Ndoto yangu kucheza Barcelona imetimia! Paulinho Klabu ya Barcelona imemsajili kiungo Mbrazil Paulinho kutoka katika timu ya Guangzhou Evergrande ya China kwa dau la pauni milioni 36.4. Read more about Ndoto yangu kucheza Barcelona imetimia!