Nimepata pakufia- Shilole Msanii Shilole 'Shishi Trump'. Msanii Shilole 'Shishi Trump' amefunguka kwa kudai yupo katika maandalizi yake ya mwisho ya kuolewa huku akiwasisitizia mashabiki zake kuwa safari hii hakuna maneno mengi kama zamani kwa kuwa amepata haja ya moyo wake. Read more about Nimepata pakufia- Shilole