Wizara za Ardhi Bara na Visiwani kushirikiana
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi zimetia saini hati za makubaliano na Wizara ya Ardhi, Maendeleo ya Makaazi Zanzibar katika ushirikiano kiutendaji na kuweka mifumo madhubuti ya usimamizi katika sekta za Ardhi kwa pande zote mbili