Yanga wametupa somo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ amewapongeza watani zao Yanga kwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika nakusema mafanikio hayo yamewapa somo Read more about Yanga wametupa somo