"Hakuna haja ya game 5"- Msofe
Mchezaji wa kutoka timu ya TMT, Rafael Msofe amesema pamoja na ushindi walioupata 'game 2' ya fainali za Sprite BBall Kings dhidi ya Mchenga BBall Stars bado wanakibarua kizito cha kuibadilisha timu yao ili waweze kushinda katika mechi ya kesho