Dkt. Kigwangalla atoa agizo zito

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa pamoja na wahudumu wa kituo cha Afya.

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla anatarajia kuvishusha hadhi vituo vya afya sita vya jiji la Arusha na kuwa Zahati baada ya kubaini mapungufu makubwa waliyonayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS