Nimefanya show zaidi ya Alikiba- Wakazi Rapa Wakazi amefunguka na kudai yeye ni mmoja wa wasanii ambao wamepiga show nyingi zaidi nchini Marekani kuliko hata Alikiba na wengine waliyopo Tanzania. Read more about Nimefanya show zaidi ya Alikiba- Wakazi