Kikwazo kipya kwa Wafanyabiashara
Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samwel Manyelle amepiga marufuku wafanyabiashara wanaojishughulisha na uingizaji wa kemikali bila kibali nchini kuacha haraka kwani wanaleta changamoto na usumbufu wa usajili na hatimaye kusababisha uhakiki usio sahihi.