Mwanamke mmoja auliwa kikatili
Mwanamke mmoja amekutwa akiwa ameuawa na watu wasiyofahamika na mwili wake kutupwa kwenye nyumba ambayo haijamalizika kujengwa (Pagala) huku akiwa amefungwa kwenye mfuko wa sandarusi na kuzungushiwa nguo alizokuwa amevaa.