Aliyezuia polisi mahakamani ni wakili feki - TLS
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema kuwa Baraka Mkama ambaye alitambulishwa kama wakili na kuonekana akiwazuia askari Polisi wasiwatie nguvuni wateja wake baada ya kuachiwa huru na Mahakama sio wakili wala mwanachama wa TLS