Wananchi washangaa CHADEMA kuzindua mradi wa maji
Baadhi ya wananchi wasio na vyama pamoja wale wa CCM wamelalamikia hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kanda ya Nyasa na mkoa wa Njombe kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Uliwa halmashauri ya mji wa Njombe