Nashukuru wananchi mmenilipa - Roma Mkatoliki
Rapa Roma Mkatoliki amefunguka na kudai hana deni analodaiwa na mashabiki zake mpaka sasa ila anachojua yeye kuwa ndiyo alikuwa anawadai na ameshalipwa baada ya wao kupiga kelele za 'free Roma' kipindi alipotoweka.