Madee aangusha chozi kwa Wolper

Rais wa Manzese, Madee amefunguka kwa kumuomba radhi msanii wa bongo movie Jacqueline Wolper kwa kitendo cha kumfanya katuni mrembo huyo katika video yake mpya ya wimbo 'Sikila' bila ya ridhaa yake mwenyewe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS