Mauaji Kagera yaongezeka 2023 Watu 65 wamethibitika kuuawa katika Mkoa wa Kagera katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Mei mwaka huu mwaka 2023 ikilinganishwa na watu 60 waliouawa katika kipindi kama hicho mwaka jana Read more about Mauaji Kagera yaongezeka 2023