Mahakama kuu kuamua uwekezaji kwenye saruji.

Hatimaye sakata la Kampuni ya saruji ya Chalinze Cement, imefungua kesi katika Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam, ili kumtaka Wakala wa Usajili Biashara na Leseni (BRELA), kuirudisha mara moja kampuni hiyo katika daftari la kampuni zilizosajiliwa na kutambulika kisheria nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS