"Fungueni biashara, Jumatano tutaongea"- Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wafanyabiashara Kariakoo

Waziri Mkuu Kassim Majaiwa, amewataka wafanyabishara wa Kariakoo kuendelea na biashara zao kama kawaida na kwamba kikao cha Jumatano watakachokutana kitajadili na kupitia changamoto zote zilizopelekea wao kuanzisha mgomo huo hii leo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS