Gharama kusafisha figo kushuka hadi 90,000

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka  Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu hasa kwa wenye vipato vya chini

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS