Uchaguzi kurudiwa Uturuki Katika uchaguzi mkuu wa nchini Uturuki rais Recep Tayyip Erdogan ametambua uwezekano wa kufanyika duru ya pili kwa sababu katika raundi ya kwanza hakuna upande uliopata zaidi ya asimilia 50 ya kura. Read more about Uchaguzi kurudiwa Uturuki