Mchengerwa abaini Mbarali hakuna vifo
Waziri wa Maliasili Mohamed Mchengerwa na RC Mbeya wamefika Kijiji cha Mwanavala wilayani Mbarali kutokana na agizo la Waziri Mkuu la kuwataka kufika ili kuona hali ya ugomvi uliotokea baina ya wananchi na Askari wa TANAPA na kubaini hakuna vifo wala mifugo iliyoshikiliwa ama kuuawa.