Kata 763 kufikiwa na huduma za mawasiliano ya simu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki hafla ya utiaji saini Mikataba ya miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano ya Simu katika kata 763 nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 13 Mei, 2023

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS