Wafugaji wanaotorosha mifugo nje ya Nchi waonywa

Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Wizi wa mifugo Nchini Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Simon Pasua amewataka Wafugaji wanaotorosha mifugo yao kwenda nje ya nchi bila kufuata utaratibu uliowekwa na Serikali kuacha vitendo hivyo kwani hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS